Mpigamsuli kachaguliwa wapi na kozi gani?

mkuu,si unakumbuka cku zle alinikashfu me na chuo changu nlichochaguliwa,nikajua labda ye atachaguliwa havard au oxford,kumbe kachaguliwa chuo mfano wa sekondari ya kata.bora hata mie nliechaguliwa hata chuo kinachotambulika barani africa.
hapo ndo umenichefua!!
 
nokla like this, yule madam yusilida na kale kakozi chake cha strategic management anavyokaza. Ha ha ha
 
nokla like this, yule madam yusilida na kale kakozi chake cha strategic management anavyokaza. Ha ha ha

mimi nilikuwa naye last yr wakati ndo namaliza, bwana wee akanikaba kweli kweli ila sikuamini kama nilipata (a) aisee, tena kipindi hicho ndo kamomba kalikuwa kanamnyemelea! Udom acheni tu jamani, all in all nilienjoy hapo, angalau kuwa kulikuwa na makasoro yake, hakuna mahala pasipo na kasoro.
 
true ndg! Then wale watu na wanafanyakazi kwa ushirikiano yeye na mume wake ABEL, yule jamaa nae anamatatizo
 
mkuu,si unakumbuka cku zle alinikashfu me na chuo changu nlichochaguliwa,nikajua labda ye atachaguliwa havard au oxford,kumbe kachaguliwa chuo mfano wa sekondari ya kata.bora hata mie nliechaguliwa hata chuo kinachotambulika barani africa.

ha ha ha, me lyk this
 
true ndg! Then wale watu na wanafanyakazi kwa ushirikiano yeye na mume wake abel, yule jamaa nae anamatatizo

aaaaah! Abel tenanae nlikuwa nae lst yr pia, nae nkapata kama ya mkewe, aiseee, wakati naanza yr 1,ndo alikuwa seminer leader, hapo ndo manjuka basi akatukosoaga presentation yetu mpaka nikaona kuwa kama nime disco vile jamani! Daaaaah, abel
 
sasa wakuu,mnaonaje hzi story zenu kuwahusu hao wakna Abel na mke wake mngezianzishia thread yake?
 
sasa wakuu,mnaonaje hzi story zenu kuwahusu hao wakna Abel na mke wake mngezianzishia thread yake?

JAMIIFORUMS "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY" ukikaa ukalifikiria hili pia litakusaidia kwenye masomo yako huko chuo.
 
Ha ha ha..hii thread nani kaifufua tena.?kuna mtu ataumbuka humu sasa hvi.
 
Hivi Huyu dogo anaependa mashindano kwenye mambo ya kijinga kijinga kachaguliwa wapi na kozi gani,maana simuoni tena humu?
me nilijua yupo Olevel huyu....hivi kuna chuo kinachoweza ku admit mtu kama mpiga msuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…