Mpigie kura Alikiba katika tuzo za Swahili Fashion

Alikiba; Muziki wangu una thamani kuliko tuzo.

Mtakaompigia kura mkapimwe akili maana huwezi kumpigia kura msanii asiyejitambua.
 
Ha ha ha swahili fasheni hata mi ntampigia ila tuzo za kimataifa hapana
 

Ila ameomba kura? Make alisema haitaji tuzo
 
Na vile visuit ambavyo sijui ni vya mtumba...

Alafu mwambien zile nywele azieke kama celebrite buaanaaaa....


I wil vote,

Ndo zilivo nywele kama mkate wa ufuta, aziwekeje sasa tena
 
Kiba shenzi sana,tusisikie naomba kura zenu,ye cmkubawa kuliko Tuzo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…