Mpigie kura Diamond kwenye tuzo za AFRIMMA

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
afrimma_flyer_web21-682x1024.jpg
Baada ya BET sasa tunarudi hapa #Afrimma awards(AFRICAN MAGAZINE MUSIC AWARDS)zitakazofanyika jijin TEXAS mwez july 26th.
Diamond yupo nominated category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo ft davido
And Best afrikan artist of the year,Ambapo baadhi ya category anawania na ,baadhi ya wasanii wa Afrika anaowaia nao,ni pamoja na Mr flava,2face,Wiz kid,Davido nawengineo
.kuvote ingia AFRIMMA Nominees 2014 |
ama ingia thisisdiamond.com kulia kwako kuna link,pia facebook page ya Diamond,na walio insta nenda page ya WASAFI @ wcb_wasafi pia page ya @ kifesi kwenye BIO ,kuna link itakayokudirect kwenye kupiga kura .
.
 
Siyo Diamond peke yake,watz wote kwa ujumla,kuna ladyjayee,Ben paul,mrisho mpoto na sheddy Clever
 
Kwa hiyo huyu jamaa anapotosha siyo? Kwa nini hawataji hao wengine?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Siyo Diamond peke yake,watz wote kwa ujumla,kuna ladyjayee,Ben paul,mrisho mpoto na sheddy Clever

asa mbona kamweka mondi peke yake????mbaguzi bas au anaogopa team anacondaa????tutafanya kweli bas.....mana dawa ya jeuri unakua kiburi
 
Kwa mwaka huu kuna methali inayosema "Penye Davido diamond hakai"
tusubiri mwakani kama Davido atachuja au diamond ataongeza bidii zaidi!

Adui mwombee njaa nna wasiwasi na mmojawapo hatakua na muda mrefu maana kitaalam kuna kitu tunaita kill your competitor sasa ni either domo awai au davido arekebishe hapo ndo utajua ill meki u femasi
 
Ss hao kina ben pol na jide na huyo mboto mbona ni kmya2 as if hawajiamin jaman???? Au waltaka dimond awapigie na wao promo??? Kiukwel mi nmewavotia wote coz cna chuk binafs na m2 ila hku kuzubaa kwa wasanii we2 kunakatsha tamaa sana, afu iktokea kashnda kaka mond waanze kutoa vjembe wakat hta hawakuwashrikisha watz ktk hili, cndo ze2 wabongo
 
Hebu tuacheni tuko kwenye mwezi mtufukufu wa ramadhani kutwa kumtangaza huyo domo wenu kakaa utafikiri sio mtoto wa kiislam
 
Ss hao kina ben pol na jide na huyo mboto mbona ni kmya2 as if hawajiamin jaman???? Au waltaka dimond awapigie na wao promo??? Kiukwel mi nmewavotia wote coz cna chuk binafs na m2 ila hku kuzubaa kwa wasanii we2 kunakatsha tamaa sana, afu iktokea kashnda kaka mond waanze kutoa vjembe wakat hta hawakuwashrikisha watz ktk hili, cndo ze2 wabongo

Lady jaydee hanaga mda wa kuji promote kupigiwa kura hata siku moja, jide humkut sijui anabembeleza kura kwa mashabiki ,hawa wengine sasa utasikia yamebaki masaa matatu kupiga kura , piga kura kadri uwezavyo ,yaan mpaka wanaudhi, sasa na hii ya ndomo na afrimma tutakoma tutakavyoombwa kura

Ukishaona jina la jide kwenye category yeyote lazima ashinde tu hata bila kuji promo, si anajiamini bwana mashabiki anao? Izo tuzo za afrimma ndomo na jide lazima wachukue labda kama davido yupo
 
Kwa mwaka huu kuna methali inayosema "Penye Davido diamond hakai"
tusubiri mwakani kama Davido atachuja au diamond ataongeza bidii zaidi!

Hahahahahaha kwi kwi kwi kwi! Mkuu utanipasua mbavu zangu.
 
nilivyoona jina la davido kama tiketi ya ndege hatolipiwa diamond asijisumbuwe kwenda huko.
 
Diamond hiyo haendi hata umlenge na bastola kwenye ndomo maana mpaka sasa anaona maruerue ya Davido.
 
Lady jaydee hanaga mda wa kuji promote kupigiwa kura hata siku moja, jide humkut sijui anabembeleza kura kwa mashabiki ,hawa wengine sasa utasikia yamebaki masaa matatu kupiga kura , piga kura kadri uwezavyo ,yaan mpaka wanaudhi, sasa na hii ya ndomo na afrimma tutakoma tutakavyoombwa kura

Ukishaona jina la jide kwenye category yeyote lazima ashinde tu hata bila kuji promo, si anajiamini bwana mashabiki anao? Izo tuzo za afrimma ndomo na jide lazima wachukue labda kama davido yupo

nipeni link team jide hapaaaaa!
 
Back
Top Bottom