Mpigie Kura Diamond kwenye tuzo za Radio Afro Australia-2016, wimbo wa KIDOGO

Mpigie Kura Diamond kwenye tuzo za Radio Afro Australia-2016, wimbo wa KIDOGO

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Diamond PLATNUMZ amechagulia kwenye tuzo za RadioAfroAustrali-2016 katika category ya Song of the year-2016 kwa wimbo wa kidogo.
6dacff67be7f67115b269155d9552680.jpg

4bb94bfe5ee80be05df3f3de82f7f347.jpg
 
Hii sasa sifa[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Jamaa balaa nasikia kamnunua hadi neyo....this time lazima hadi Bush man anunuliwe
 
Nahesabu! Hii redio ya 267 ameinunia ili wawe wanampendelea yeye tu kila siku..

Huyu jamaa mjanja mjanja sana! Alafu anapenda sifa!! Wenzake wanaofanya mziki mzuri juzi tu kiba na dimpoz wimbo wa kajiandae umechaguliwa kuwania tuzo za Grammy.. [emoji4]

Cc: Nifah
 
Hamna lolote,nasema hiviiiiii hii tuzo ya redio mbao haipati!
Tusubiri na tuone [emoji12]
 
Inatua madale kama masihara vile! Tumebakiza Grammy tu..
Tuone,matokeo yakitoka tu naomba uniambie pls (najua mtaikosa,usisite kuniambia)

Grammy mpaka tunazikana bae,hamtokaa muipate.
Hebu tuache kuongelea ndoto bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuone,matokeo yakitoka tu naomba uniambie pls (najua mtaikosa,usisite kuniambia)

Grammy mpaka tunazikana bae,hamtokaa muipate.
Hebu tuache kuongelea ndoto bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndani ya miaka mitatu ijayo tusipopata nomination hata moja ya Grammy..... Sijui nikuahidi kitu gani [emoji53]
 
Instagram party Award za huko hizo hatupotezi muda wetu kupiga kura
 
Back
Top Bottom