Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Diamond PLATNUMZ amechagulia kwenye tuzo za RadioAfroAustrali-2016 katika category ya Song of the year-2016 kwa wimbo wa kidogo.
Hamna lolote,nasema hiviiiiii hii tuzo ya redio mbao haipati!Nahesabu! Hii redio ya 267 ameinunia ili wawe wanampendelea yeye tu kila siku..
Huyu jamaa mjanja mjanja sana! Alafu anapenda sifa!! Wenzake wanaofanya mziki mzuri juzi tu kiba na dimpoz wimbo wa kajiandae umechaguliwa kuwania tuzo za Grammy.. [emoji4]
Cc: Nifah
Inatua madale kama masihara vile! Tumebakiza Grammy tu..Hamna lolote,nasema hiviiiiii hii tuzo ya redio mbao haipati!
Tusubiri na tuone [emoji12]
Ha ha ha, umenichekesha sana. Eti redio mbaoHamna lolote,nasema hiviiiiii hii tuzo ya redio mbao haipati!
Tusubiri na tuone [emoji12]
Tuone,matokeo yakitoka tu naomba uniambie pls (najua mtaikosa,usisite kuniambia)Inatua madale kama masihara vile! Tumebakiza Grammy tu..
Ndani ya miaka mitatu ijayo tusipopata nomination hata moja ya Grammy..... Sijui nikuahidi kitu gani [emoji53]Tuone,matokeo yakitoka tu naomba uniambie pls (najua mtaikosa,usisite kuniambia)
Grammy mpaka tunazikana bae,hamtokaa muipate.
Hebu tuache kuongelea ndoto bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpe ahadi kuwa utaamia team mziki mzuri no ujanja ujanja.Ndani ya miaka mitatu ijayo tusipopata nomination hata moja ya Grammy..... Sijui nikuahidi kitu gani [emoji53]
Mimi ahadi yangu nilishaiweka mezani...kazi kwako [emoji39]Ndani ya miaka mitatu ijayo tusipopata nomination hata moja ya Grammy..... Sijui nikuahidi kitu gani [emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo ktk ubora wako wa hali ya juu kabisa.Mpe ahadi kuwa utaamia team mziki mzuri no ujanja ujanja.
Nahamia team "mziki mzuri" na naacha kula sato forever..! [emoji4]Mimi ahadi yangu nilishaiweka mezani...kazi kwako [emoji39]