Mpigie kura Diamond Platnumz kwenye tuzo za AficanPrideAwards 2017 upigwaji kura ushaanza rasmi.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828

Mpigie kura Diamond Platnumz kwenye tuzo za africanprideawards kwenye kipengere cha artist of the year.
Mwisho kupiga kura ni tarehe 10,August 2017 na washindi watatangazwa katika the main award gala and ceremony on 13,August 2017 uko Uingereza.


Vitale Water, ROK TV and Royal London Hotel&Suites are proud to support the 2017 African pride awards.

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Aya

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie Bashite ampigie .... yeye alichagua upande baada ya kukaa neutral, hana maana ...
 
Mkuu kama ungeweka na hiyo link ya kupigia kura ingekua vizuri zaidi

Sent from my Sony Xperia Z3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu weka na Link kabisa tushushe votes zetu
 
zahara[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Wcb [emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Sent From my C5 wereva
 
WCB wamepata na kiwewe cha yupi wampigie debe,kati ya MOND na Rayvanny.
 
Mnapoteza kura zenu maana anae chukua anajulikana
 
Usitulazimishe bhana.....Sisi tutampigia Wizkid au Tekno.

Mambo yapo wazi kabisa hao ndio wametisha mwaka huu kwa ngoma kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…