Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Kwa kifupi walengwa wakuu wa Spike TV ni "young-adult male" sasa huyu Teddy yeye atakuwa anatangaza nini? Hapa kuna watu watakwambia anapeperusha bendera ya Taifa lol.
 
Hapana...Kazi na dawa mkuu..Sio kila wakati Siasa tuuuu na dini...YoYo tuwekee picha zaidi tutathmini uumbaji huu aisee


Astaghfurillah!

Ustadh na wewe una-commend hizi materials za maji machafu (porno)? Sasa mfano mwema tuutoe watu wanajamii?
 
not in my life time. in fact never........... wamekosa mtu huko spike tv?
i mean....ohhh.........just a big NO from me.
ohhhhh... please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 


mkuu nimekusoma ndo maana nikajihami huenda ni huu 'ushamba' wa ulimwengu wa tatu unanisumbua....nahitaji 'exposure' sijui wenyewe ndo wanavoita?
 
wakuu mshapiga kura? hampendi kumuona Mtz akipeperusha bendera SPIKE TV?
 
Loves fast cars
A star on Tanzanian television
Very flexible
Always sleeps in the nude
Coached models for the Miss Tanzania Beauty Pageant
 
Ah sikubali ngoja nikauze nyumba yangu ya masaki ,nimrudishe teddy, hawa wazungu nao kwa kupenda ....
 
Astaghfurillah!

Ustadh na wewe una-commend hizi materials za maji machafu (porno)? Sasa mfano mwema tuutoe watu wanajamii?
Hapana mkuu,sijaona ishu za porno hapa Dr. ndo maana bandiko lipo kwenye celebrity forum,labda tatizo lipo kwenye aina ya mavazi aliyovaa Teddy(ni kama wanavyovaa washiriki wa mavazi ya urembo mkuu),so kwangu nahisi Teddy alivaa hivyo kulinngana na matakwa ya hao jamaa wanaotafuta mtangzaji wa hiyo TV,na kwa vile binti anataka ajira hakuwa na jinsi zaidi ya kukubali kujianika hivi(hata washiriki wa mashindano ya urembo huvaa zile bikini kutokana na matakwa ya waandaaji wao mkuu)....Mambo ya kusaka ajira na umaarufu hayo Dr.
 
Will she be expected to speak on tv or just look good?
 
sasa TK daa..kila la kheri bana..japo ka kupata hiyo kazi ndo hadi kuwekwa uchi namna hiyo...mi hata sina la kusema hapo..
 
No matter how you feel,get up,dress up and show up coz life isn't tied with a bow,but it's still a gift to us to have such a beautiful lady like u...u were and still ma favorite tv presenter when u were in eatv!!!go girl grab every positive opportunity and kindly u have ma vote!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…