Mpigie kura yako Mtanzania mwenzetu, Jeremiah Wandili ktk Project Yake ya Kukomesha Malaria.

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Jeremia Wandili Mtanzania na mhamasishaji wa harakati za kupambana na umasikini kwa kutumia Talanta alizonazo katika kubuni mawazo bunifu. Wandili amefanikiwa kuingiza wazo la mradi wa kupambana na Ugonjwa Malari ktk shindano la Swiss Malari Group photo and video contest. Naombeni tumsapoti kwa kupigia kura idea yake, Unaweza kumpigia kura yako hapa kupitia hapa kisha tafuta MM-NET(Mbu Malaria-Net) kisha bonyeza Vote. Au unaweza kumpigia kupitia Bio/timeline wall yangu ya facebook click hapa ambapo nimeweka link ya kupiga kura direct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…