[emoji23] uko vizuri mkuu.
Kweli Nna mkono wa kupanda vitu
Naona pilipili yangu imekubali
Ni vzri kupanda vitu vidogodogo nyumbani
Syo kila kitu kwenda nunua sokoni
Ova
View attachment 1105376
Omba mbeguKwa jinsi ninavyopenda kula pilipili natamani niutoe huo kwako nihamishie ninapoishi
Omba mbegu