Mpilipili wangu nyumbani umekubali

Kijana wangu alipandaga minanasi mitatu, tumevuna tukala aise. Kipindi hiki cha mvua binti amepanda ndizi nne, naona zinakuja vizuri.
Safi sana
Inapendeza home ukiwa na vitu vyako ulivyopanda mwenyewe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…