Mpina aanika bungeni madudu ya kutisha Ripoti ya CAG

MBUNGE WA JIMBO LA KISESA WILAYANI MEATU - MKOA WA SIMIYU AANIKA BUNGENI MADUDU RIPOTI YA CAG.

===Fungua kiambatanisho.
Hilo la makinikia ni takataka ila kwingine ni point..

Mwisho inakuaje serikali inaacha pesa nyingi kiasi hicho Trab na trat na Wala hawahangaiki vya kutosha kuzifuatilia?

Inakuaje serikali inaacha pesa nyingi hivyo za malimbikizo ya Kodi ambazo haziko mahakamani watu wanadaiwa na hawalipi na Serikali haishiki mali zao?..

Kuna mzaha akina Mwigulu wanafanya kutaka pesa rahisi rahisi kutoka kwenye tozo na watumishi..
 
Na kukopa haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…