Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni.
Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo hakunyoosha maelezo kuwa tunapoteza fedha za kigeni ambazo tungeweza kuzitumia kwa mambo mengine na pia ingesaidia ku-control tatizo la fedha za kigeni hapa nchini.
Naona watu wamesahau kuhusu hili na Lucas Mwashambwa nae sijui kasahau au anajisahaulisha.
Hakika muda ni hakimu wa haki.
PIA SOMA
- Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria