Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana.
Nini kifanyike?
Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais.
Kila siku msaidie Rais wako. Rais ni nchi. Rais ni wananchi. Ukimsaidia Rais umesaidia nchi. Umewasaidia wananchi.
====
Pia soma: