Mpina analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CCM lakini hajahama wakati Msigwa analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CHADEMA na akahama!

Wafuasi wa Rais

Senior Member
Joined
May 31, 2023
Posts
151
Reaction score
147
Unasema itikadi za chama siyo muhimu na wakati unapata uongozi kwa kupitia tiketi ya chama kilichonadi sera zake?

What a crooked reasoning?!
 
ACHA UONGO, UNAMLISHA MANENO MH MPINA.

ACHA UONGO ACHA UONGO, TENA UKOME IKOME UKOME.

Ugonv wa Mpina ni Kwa Mafisadi na waoneaji ambao anataka Kwa majina

Sio CHAMA.
 
Ili kila upande ijinyakulie nukta yake 1, Mpina naye hana budi kujisogeza CDM.

Kufa kufaana. Ukimwaga mboga, tunapika nyingine.
 
Tunahitaji kuwa watanzania, vyama ni njia tu ya kutafuta uongozi wa nchi.
Tuwaunge mkono wale wote wenye facts za kuipeleka Tanzania mbele bila kujali vyama vyao.
Unyumbu, uchawa na vinavyofanana na hivyo ni kulihujumu taifa (kuhatarisha usalama wa taifa).
Kuna haja ya kuanzisha movement ya Tanzania kwanza, vyama baadaye, kwani inaelekea vyama na hata dini zinaharibu uwezo wa watu wetu (wa Mungu) kufikiri kwa u sahihi.
Wanasiasa wetu hawana uthabiti na uadilifu (consistency and integrity).
Haiwezekani na haikubaliki mtu atuaminishe uelekeo huu leo, kesho ageuke kinyume bila sababu za msingi, tumpokee tumwamini bila kujali uharibifu katika fikra za vizazi vijavyo.
 
Mpina (huzuni) asihame CCM aendelee kuwemo humo na kuwapa changamoto

Msigwa (Mkinga) anamsongo wa mawazo hatataboa kwa vyovyote huko alikoenda amejizika kwa makusudi kuficha aibu ya usaliti, udhaifu
 
Tunahitaji kuwa watanzania, vyama ni njia tu ya kutafuta uongozi wa nchi.
Tuwaunge mkono wale wote wenye facts za kuipeleka Tanzania mbele bila kujali vyama vyao.
Unyumbu, uchawa na vinavyofanana na hivyo ni kulihujumu taifa (kuhatarisha usalama wa taifa).
Kuna haja ya kuanzisha movement ya Tanzania kwanza, vyama baadaye, kwani inaelekea vyama na hata dini zinaharibu uwezo wa watu wetu (wa Mungu) kufikiri kwa u sahihi.
Wanasiasa wetu hawana uthabiti na uadilifu (consistency and integrity).
 
Idiots are feeling more and more comfortable to start threads!
 
..unamsaidia Raisi wakati yeye hakusaidii?
 
Unasema itikadi za chama siyo muhimu na wakati unapata uongozi kwa kupitia tiketi ya chama kilichonadi sera zake?

What a crooked reasoning?!
Huwezi kuelewa. Upo sahihi kuendelea kuamini uaminivyo
 
Kuna namna una hoja nzito sana. Tanzania kwanza vyama baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…