Mpina anashambuliwa kwa kuitetea Ilani ya CCM

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Mbunge Luhaga Mpina Kada wa CCM anashambuliwa na wana CCM wenzake hadi kufikia kukatwa jina lake kugombea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu yA tAIFA nEC kwa kosa la kusimamamia Ilani ya Uchaguzi ya Ccm ya mwaka 2020-2025 kurasa wa pili wa ilani kipengele (i) katika Bunge la Tanzania

Pole ndg Mpina, mpotezee JPM, kubali zama zake zishakwisha, then tembea na kusifu na kum-chawa Maza, utakula mema ya nchi.

Ukiendeleza ubishi, uwe na plan B, ubunge sahau 2025!
 
Pole ndg Mpina, mpotezee JPM, kubali zama zake zishakwisha, then tembea na kusifu na kum-chawa Maza, utakula mema ya nchi.

Ukiendeleza ubishi, uwe na plan B, ubunge sahau 2025!
mpina anazungumzia utekelezaji wa ilani ya ccm hayo unayosema wewe mbona hayamo kwenye ilani
 
Pole ndg Mpina, mpotezee JPM, kubali zama zake zishakwisha, then tembea na kusifu na kum-chawa Maza, utakula mema ya nchi.

Ukiendeleza ubishi, uwe na plan B, ubunge sahau 2025!
Akachukue course kwa kina Mwijaku ajue maana ya uchawa angeishi
 
Ndio atajua kuwa samakai hana maisha nje ya maji
 
CCM inayoparanganyika ni faida kubwa kwa Watanzania.

Uhuru wa kweli u karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…