Pre GE2025 Mpina apokelewa na jeshi la akiba Sakasaka, aahidi kupeleka drip 500 na mifuko 100 ya simenti

Pre GE2025 Mpina apokelewa na jeshi la akiba Sakasaka, aahidi kupeleka drip 500 na mifuko 100 ya simenti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha!

Wacha tuendelee kunywa mtori nyaa tutazikuta chini!


Mpina amepokelewa kwa shangwe ya kutosha Sakasaka katika jimbo la Kisesa, ameongea mambo mbalimbali ikiwemo kupeleka drip 500 ili kusaidia wananchi wa eneo hilo wanaohitaji huduma hiyo kuzipata kwa ufadhili wake.

Pia soma:
Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbali na hiyo ameahidi kutoa mifuko 100 ya simenti ili kufanikisha ujenzi wa zahanati Ming'ongwa, aahidi pia kutoa pambu za maji na mengine kede kede!
 
Sijui jamaa itakuaje.... baadhi ya wanaCCM walikua wanawaza kua atapokwa nafasi ya kugombea ubunge,sasa kwa hali hii.... mmmmh!
 
Back
Top Bottom