Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

Dah!

Hivi inawezekana? Waziri na wanufaika wa Sukari kujibu tuhuma Mahakamani? Sidhani kuwa jambo la namna hii lilisha wahi tokea ndani ya nchi hii!

Sasa na CCM hii na mahakama yenyewe yalivyo... hili litawezekana?
Ni ngumu, lakini angalau litawafumbua sana watu, damage tayari ni kubwa.
 
Nimtafute mganga wa Mpina auawe
Mjomba yuko vizuri maana makombora mengi mpaka sasa s400 imefanya kazi
 
Hivi huyu jamaa ni Mwanasheria? mbona naona hili jambo ni kubwa atamburuza Bashe mahakamani
 
Ficha ujinga wako
 
Huu unafiki wa CCM unakera sana, hata mwakani wakimkata akatimkia upinzani watamuibia kura alafu atarudi kulialia wizi wa kura ilihali 2020 aliona ni sawa tu wapinzani kuibiwa kura!! Na wala sijawahi muona akipigania tume huru.
Kabisa, kuna watu wanalazimisha tumuone Mpina ni mtetezi wa wananchi, ukweli ni kuwa anajificha kwenye hoja za wananchi baada ya kutolewa kwenye ulaji, lakini leo hii akipewa ulaji atakalia kimya kinachomliza sasa. Ni kweli hoja yake ina mashiko kwa sasa, lakini sio mtetezi wa wananchi kuondokana na mifumo mibovu ya kiutawala, ili akipata nafasi naye atawale kwa mazingira haya haya ya ubovu.
 
Noma sana ni madini tupu na ingekuwa jambo jema kama hoja zake zingejibiwa! Kumfukuza bungeni bila kujibu hoja zake ni kuonesha kuwa anazo hoja ila mmezisigina
 
2020 wapinzani awajaibiwa kura magufuli alikuwa rais kipenzi cha watanzania wazalendo..kura ziliibiwa 2015 kutokana na uongozi mbovu wa muhuni kmzee wa msoga
Sio kweli, mimi kata nayotokea mbunge alipita bila kupingwa na diwani alipita bila kupingwa, so watu hatukupiga kura maana hata kampeni hazikufanyika. Cha ajabu eti waliojitokeza kupiga kura walikua ni 98% ya waliojiandikisha!! Unajua kuna vitu vya ajabu sana 2020 alafu mnatetea tu ujinga.
 
Sikiliza dakika ya 59 na sekunde 39 usikie mpina alivyojamba.

Kikaka kimeongea mpaka kimejamba, nilisema mimianacheza na kichwa kubwa kama Bashe, atajinyea.

Yametimia.
Ndio huu ustaarabu wa kiarabu huwa unatuhubilia humu,?!!

Mbona ustaarabu wako mbovu sana mtu mzima kusema kitu kama hicho,

Ukiwa huna hoja bora ukae kimya, ndio maana unatukanwa sana kuhusu udini wako na ustaarabu wako ulivyo ziro.,

NIMEKUDHARAU SANA.
 
Sio yeye bali anasaidiwa na wanasheria kwenye ufafanuzi wa vifungu maana hapa ni masuala ya kisheria yote vinginevyo kama Mpina ni mwanasheria basi amezama vema kubaini baadhi ya kasoro za kisheria.
Kwenye majambo kama haya ni aidha uwe na ujuzi ama uwe na wajuzi.. So kama ni yeye basi yuko njema kama ni wanasheria wake nao wako njema.
 
Ushahidi hana?
 
Huyu binadamu, anazidi kuufedhehesha Uislam wake,

Na hapo anavyoshadidia hivyo ni kwakuwa Bashe ni dini yake,

Anajaribu kuokoteza vihoja ili tu kumlinda mdini mwenzie,

Huyu ni bin adam mdini sana
 
Huyu binadamu, anazidi kuufedhehesha Uislam wake,

Na hapo anavyoshadidia hivyo ni kwakuwa Bashe ni dini yake,

Anajaribu kuokoteza vihoja ili tu kumlinda mdini mwenzie,

Huyu ni bin adam mdini sana
Nimemshusha sana thamani ni wa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…