Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

1. Mpina
2. Makonda
3. Ally Happy
4. Kabud
Ndio nawaona kuvusha nchi
Tanzania nchi ya Mungu,kunakitu hapa Mungu anakipanga kitokee ndani ya Taifa letu nacho ni chema,tusubili.Nchi hii ilipata uhuru kutokana na kazi ya Mtu wa Kanda ya ziwa(Nyerere) nahakika nchi pia itafikia maendeleo ya Juu kama tiger country via mtu wa Kanda ya Ziwa.
 

Hawezi, atasubiria ccm wakutane kumfukuza Mpina ndio ataandika.
Nani asome gazeti lake tumeshachoshwa tukiona paragraph zimezidi 3 mashaka tayari ya 4 tunafunika tunaangalia machapisho ya maana.
 
Anayetoa hoja za maana akiwa CCM hatakiwi maisha yao wanayajua wenyewe kazi ya Bunge Huwa sijui ni Mhimili wa ngapi! Kazi yao ni kuunga hoja 100%, Kusifia serikali. Kumsifia nanihii, wanakaa kwenye kiyoyozi jioni wanasaini allowance. Sijajua kama ndiyo kazi tuliyowatuma. Sasa hv pita mitaani waulize wapiga kura wanasema hakuna sababu ya kupiga kura. Ingawa siyo sawa dawa ni kutumia haki yako kumpiga chini anayependa Kusifia akirudi anagawa khanga na baiskeli. Najua hata jimboni kwako mwana jf Mbunge wako kama katokana na zao la CCM Yuko hivyo. Au mm ndo sielewi vizuri?
 
Mwambie mpina mahasimu zake,Bashe na Mwigulu, washauza mahindi yetu yote ya chakula cha akiba, akija mdogo wake Hidaya leo hatuna chakula.
 
Hahaha hilo sina shaka nalo, MI CCM haiwezi kuishi bila kuwa michawa ni utamaduni waliojengewa na ama wazazi wao au chama chao, wako hivyo.

Kawaida yao kulia wakikosa vyeo, ila nafurahia wanavyoendeshana wao kwa wao. Wanatamani kumfukuza lakini wanashindwa, nasijui kwanini wakati wameshampata MSIGWA.

Hakuna CCM mwenye confidence akiishafukuzwa, na ndio maana hata hawa walioko kwenye vyama vingine wana pata faraja wanapo karibishwa CCM.
 
Hili ni igizo kutoka chama cha majizi ili ionekane kuna "upinzani" baada ya 2025 wanarudi kule kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…