johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amesema wanaodhani atahama CCM na kwenda Chadema au Chama kingine chochote wanaojidanganya bure
Mpina amesema mwaka 2012 alipoipinga Bajeti ya Serikali baadhi ya Wanaccm walitaka afukuzwe Uanachama lakini Mwenyekiti wa CCM Wakati Ule Mzee Kikwete alikataa kwa sababu hoja zake zilikuwa za Msingi
Mpina amesema kamwe hatahama CCM kwa sababu yeye ni Mwanaccm kwa kuzaliwa siyo kujiandakisha.
---
Wapo baadhi ya wananchama wa CCM wameingiwa na wasiwasi kwamba nitahama CCM, mimi ni mwanaccm sio wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa ninachosimamia Bungeni ni msingi imara ya Chama cha Mapinduzi”
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24
Credit: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 😀😀😀