mfanyakazfake
Member
- Feb 14, 2023
- 23
- 42
Kitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzaoKitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake
yule MSUKUMA NAYE NDIO DOMO KUBWAGwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzao
Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 unaweza kurahisisha ushindi na kushindwa kwa baadhi ya wabunge kwa. Wanaompinga Mpina Vs wanao muunga mkono MpinaGwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzao
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, lakini kwa vile wameshanogewa na uharamia uliofanyika 2020 wanaweza wakautumia tena na sanduku la kura lisiwe na maana yoyote.Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 unaweza kurahisisha ushindi na kushindwa kwa baadhi ya wabunge kwa. Wanaompinga Mpina Vs wanao muunga mkono Mpina
Kwahiyo mla kondoo wa Bwana nayeye kaingia kwenye mfumoGwajima mnafiki mkubwa kamlaani sana Mpina jana akiungana na wajinga wengine akina Msukuma na Kibajaji. Tatizo ni CCM wameamua kukumbatia wizi na ufisadi unaofanywa na viongozi wa serikali na ukisema ukweli unaonekana siyo mwenzao
Sana tu,mzee wa mkono wa baunsaKwahiyo mla kondoo wa Bwana nayeye kaingia kwenye mfumo
Mzee wa mkono wa baunsa kashajaa kwenye mfumo na kwa akili yake anawaza kuja kuwa rais wa nchi ya tanzania hahahahaaaKwahiyo mla kondoo wa Bwana nayeye kaingia kwenye mfumo
Msukuma ana bifu za kijinga sana na hana uwezo wowote sema ushirikina ndo unakabeba kila uchaguziMsukuma ana bifu la kudumu na mpina na hii ilianziaga enzi za jiwe la pembeni kupambana na uvuvi haramu ziwa victoria.
Msukuma alichomewa mitego na makokoro yake lakini pia gari zake zilikamatwa na samaki WA magendo.
In fact ni mpuuzi Sana hata jimboni kwake anahitilafiana Sana na viongozi wenzakeMsukuma ana bifu za kijinga sana na hana uwezo wowote sema ushirikina ndo unakabeba kila uchaguziin
Wananchi ni wasahaulifu ikifika uchaguzi washasahau.Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 unaweza kurahisisha ushindi na kushindwa kwa baadhi ya wabunge kwa. Wanaompinga Mpina Vs wanao muunga mkono Mpina
IN FACT UKIPATA MTU MAHIRI AKAANDAA KAMPENI NZURI ILIYOSTARABIKA NI RAHISI KUWAPIGA CHINI WABUNGE WENGI WA CHAMA CHANGU.TATIZO HATUJASTARABIKA KIHIVYO.MAANA KAMPENI ZETU ZIMEJAA MATUSI TU.Kwa hiyo uchaguzi wa 2025 unaweza kurahisisha ushindi na kushindwa kwa baadhi ya wabunge kwa. Wanaompinga Mpina Vs wanao muunga mkono Mpina
Raisi wa kitaaMzee wa mkono wa baunsa kashajaa kwenye mfumo na kwa akili yake anawaza kuja kuwa rais wa nchi ya tanzania hahahahaaa