Mpina nakuonya usitafute sifa kwa Watanzania kwani wengiwao ni wanafiki na waongo, baadaye watakucheka

Mpina nakuonya usitafute sifa kwa Watanzania kwani wengiwao ni wanafiki na waongo, baadaye watakucheka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ushauri wangu Kwako endelea na Ubunge wako, piga Hela, Wekeza, ukipata nafasi ya Kuiba Iba au Piga Dili ili baadae Wewe na Familia yako mje kuishi vyema. Watanzania hawabebeki na hasa hawa ambao leo unaona wanajifanya Kukupa Sapoti ni Wanafiki, Waongo na Waoga yakikukuta watakugeuka na kukucheka. Ipo mifano mingi ya waliothubutu kama Wewe na leo wanajuta huku wakiwa wameshaharibu mifumo yao yote ya Awali.

Siasa za sasa za Tanzania zimekuwa za Kihuni na Mifumo ya Maisha ya Tanzania ni ya Kuabudu Matajiri tu siku zote. Ipo Siku utakuja Kunikumbuka GENTAMYCINE kwa huu Ukweli wangu japo najua Leo sitoeleweka nawe na Wengineo. Nimeona mengi na najua mengi pia hivyo zingatia haya niliyokuelezea hapa.

Asante.
 
Acha afanye kazi yake na atimize majukumu yake na wewe timiza yako!
 
Nachojua mpina hawezi kuwa na njaa tena maisha yake yalobaki,

Hana cha kupoteza, acha ahamie upande wetu wananzengo tasaidizane kupiga penyewe hadi mama aghairi kuchukua form
 
Back
Top Bottom