Mpina: Sijawahi kuona Serikali inayovunja Sheria na Katiba kama ya Awamu ya Sita

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Your browser is not able to display this video.
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema hajawahi kushuhudia Serikali inayokiuka sheria na Katiba kwa kiwango anachodai kufanyika katika Awamu ya Sita. Amesema katika kipindi chake cha miaka 20 akiwa Mbunge, ameshuhudia awamu mbalimbali za uongozi, lakini hali ya sasa ni tofauti.

Mpina amesema juhudi za kupata Katiba Mpya haziwezi kufanikiwa kikamilifu endapo Serikali itaendelea kuvunja sheria na misingi ya Katiba ya nchi
 
ta
tangu apigwe chini serikalini, muungwana hajawahi kupona tatizo la chuki binafsi.

yaani yeye kupigwa chini kwenye baraza la mawaziri anaona ni kuvunjwa kwa katiba
 
ta

tangu apigwe chini serikalini, muungwana hajawahi kupona tatizo la chuki binafsi.

yaani yeye kupigwa chini kwenye baraza la mawaziri anaona ni kuvunjwa kwa katiba
Kumbe upo huku? kamtetee na shahidi wa serikali huko amebanwa mbavu vibaya! Watu wanataka wamsanue kumbe sio yeye ni wa kuchonga, wahi mzee shauri yako!
 
Kumbe upo huku? kamtetee na shahidi wa serikali huko amebanwa mbavu vibaya! Watu wanataka wamsanue kumbe sio yeye ni wa kuchonga, wahi mzee shauri yako!
ni vizuri mkaendelea kupotoshana na kujifariji na wenzako gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Niseme tu Mpina ulikosea sana kwenda ACT na tamaa zako za kijinga ulidhani utakuwa nawe mgombea uraisi, sasa sielewi unacholalamika wakati akina OMO , Jussa na wengineo wao kule kwao wamekenua meno 32 wanaenjoy taarabu na wapo siti ya mbele kabisa, ondoka huko hao huwawezi wana undumila kuwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…