Mpina, thibitisha uchungu wako kwa taifa kwa kurejesha ekari elfu moja (1000) ulizodhulumu wanakijiji mkoani Morogoro, hawana pa kulima, wanakufa njaa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.

Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.

Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima alifika
 
Kumbe kelele zote nikasema sasa bunge limepata watu daa
Kweli usiamini wana Siasa inaonesha wote ni makanjanja na wanajuana

Sijui kama ntaamini tena hawa watu
Yaani anavyoongea utafikiri analia kwa uchungu kumbe ana mashamba ya wizi
 
Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.

Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.

Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima alifika
Siasa za majitaka hizi

USSR
 
Umsikini wako unakutesa sana wewe. Watu wanawekeza wewe unashida JF.

Wapi umesikia mpina ana mgogoro na wana morogoro.?
 
hoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadala
 
Umetoka kwenye pombe ya kienyeji unakuja kichangia mada
 
hoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadala
Huyo Mpina ni mwizi, Hilo suala alilindwa na jiwe, lakini Morogoro hawataki hata kumuona
 
hoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadala
Wahuni tu wanashindwa kujibu hoja za Mpina. Wanatafuta huruma hadi huku JF.
 
Wewe ni Moja ya wapumbavu mchi hii
Narudia Luhaga Mpina ni mwizi, halafu hata JPM alishasema Luhaga Mpina ni kichaa.
Hilo Bunge ni la mwisho, mavichaa sehemu yao jalalani
 
Back
Top Bottom