Siasa za majitaka hiziMpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.
Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.
Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima alifika
Umsikini wako unakutesa sana wewe. Watu wanawekeza wewe unashida JF.Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.
Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima.
Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima alifika
hoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadalaUmsikini wako unakutesa sana wewe. Watu wanawekeza wewe unashida JF.
Wapi umesikia mpina ana mgogoro na wana morogoro.?
Huyo Mpina ni mwizi, Hilo suala alilindwa na jiwe, lakini Morogoro hawataki hata kumuonahoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadala
Wewe ni Moja ya wapumbavu mchi hiiHuyo Mpina ni mwizi, Hilo suala alilindwa na jiwe, lakini Morogoro hawataki hata kumuona
Wahuni tu wanashindwa kujibu hoja za Mpina. Wanatafuta huruma hadi huku JF.hoja hiyo inaibuka pale mawaziri wanapokosa majibu ya hoja zake bungeni, yani wananchi waporwe ardhi wasiende mahakamani wasubiri akiwatetea maslahi ya umma bungeni ndio waje leo kwani sheria ziko wapi...hao mawaziri wajibu hoja za wananchi hawawezi kuhamisha mjadala
Uhuni tu unaoandika hapa. Upuuzi kabisa huu unaleta JF. Mkajibu hoja bungeni.Umetoka kwenye pombe ya kienyeji unakuja kichangia mada