Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Aug 16, 2025 #1 Wananchi wangu bei ya pamba hawana, wanauawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme atukudai. Hapana! Naendelea kuomba kujengewa barabara ya lami badala ya kujibia lakini nasakamwa. Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia ACT Wazalendo Your browser is not able to display this video.
Wananchi wangu bei ya pamba hawana, wanauawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme atukudai. Hapana! Naendelea kuomba kujengewa barabara ya lami badala ya kujibia lakini nasakamwa. Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia ACT Wazalendo Your browser is not able to display this video.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Aug 16, 2025 #2 Huyu mama hata Leo hii kama anapewa udiwani bado atashindwa vibaya Sana sembuse kuongoza nchi