Mpira (football) ni Mchezo wa hisia , Je ni kweli Uchawi upo kwenye mpira wa miguu?

Uchawi upo na wachawi wapo hata hapa wapo wanakuzoom
 
Kama uchawi upo kwenye mambi mengine, itashindikanaje kwenye soka?
 
Reactions: Lee
Hamna kitu icho ,kama ivo basi Nigeria au Cameroon wangelikuwa washachukuwa kombe la dunia.
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…