Mpira huchezwa hadharani na pengo la ile biashara kichaa lilianza kudhihiri muda sasa achililia mbali pengo la Sven.
All I can say Is, BYE BYE GOMEZ. Huna credentials za kuwa kocha wa Simba. That business was a monkey business. We miss you Konde Boy and CCC.
Tottenham walikomaa na Harry Kane Kwa ajili ya mkataba. Simba walishindwa nini?