Mpira ni burudani

David Kinogo

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
58
Reaction score
137
Mpira ni burudani.. Mimi napenda mpira na nazipenda timu zangu passionately. Kufunga au kufungwa ni sehemu ya mpira; proud of my team, asanteni kwa siku mlizotupa furaha na siku ambazo tumepata matokeo kinyume na matarajio kama leo .. #nguvumoja [emoji7]
 
Unajifariji siyo! Baada ya kipigo cha mbwa koko!! 4G!!!πŸ”₯πŸ”₯
 
Ile ilikua trailer movie kamili kwa mkapa, mnyama anakuja kufa vibaya. Tukiwaambia ao mabeki wa zee wanafikiri chuki.
 
Umeanza lini kuwa na IMANI hii..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…