Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
We sema ligi unayoangalia ni EPL tu,hivyo vitu vya kawaida sana uku Kwenye ligi nyingine.Ndio utamu wa EPL, hizo ligi nyingine hamna Mentality hiyo
We sema ligi unayoangalia ni EPL tu,hivyo vitu vya kawaida sana uku Kwenye ligi nyingine.
Msimu uliopita HD anaifungia simba goli dk ya mwisho ya 95 dhidi ya Jkt.
Sent using Jamii Forums mobile app
We sema ligi unayoangalia ni EPL tu,hivyo vitu vya kawaida sana uku Kwenye ligi nyingine.
Msimu uliopita HD anaifungia simba goli dk ya mwisho ya 95 dhidi ya Jkt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani watu tunajadili soka we unaleta mambo ya kabumbu.We sema ligi unayoangalia ni EPL tu,hivyo vitu vya kawaida sana uku Kwenye ligi nyingine.
Msimu uliopita HD anaifungia simba goli dk ya mwisho ya 95 dhidi ya Jkt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ilikuwaje hapo kwa wale waliokuwa wanaangalia mechi huku wakiwa na mikeka mfukoniMwanaume wa Kifaransa ambaye anakwenda kwa jina la Florian Lejeune jana alifanya maajabu yake kwa kutumia muda usiozidi dakika moja na nusu kuweka kambani magoli mawili dhidi ya Everton na kuwapa Newcastle sare ya 2-2 .
Mpaka dakika ya 93 Everton walikuwa mbele kwa magoli 2-0 lakini mpaka dakika ya 94 mechi inaisha 2-2 , hapo ndio unajua kazi ya ukocha ni ngumu sana tena sana , huwezi kuvaa viatu vya Carlo Ancelotti hapo jinsi anavyojisikia sasa hivi.
View attachment 1330437
Yaani watu tunajadili soka we unaleta mambo ya kabumbu.
HahaaaaaaaaYaani watu tunajadili soka we unaleta mambo ya kabumbu.
Yaani watu tunajadili soka we unaleta mambo ya kabumbu.
7We sema ligi unayoangalia ni EPL tu,hivyo vitu vya kawaida sana uku Kwenye ligi nyingine.
Msimu uliopita HD anaifungia simba goli dk ya mwisho ya 95 dhidi ya Jkt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother ni nadra sana kwa ligi nyingine, ila Epl ni kila wiki ndio maana imesemwa ili ushinde Epl unahitaji kuongoza goli zaidi ya 3 dk ya 80 vinginevyo kamoja au viwili ni hati hati!
Barcelona waliwahi kufungwa dk 87 magoli 3 kwa 0,,dk 87 hadi mpira kwisha wakafunga magoli 4
Sent using Jamii Forums mobile app