Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Call the haters, call The list,nokia and east blah blah
Tel em the quen is back hahahaha there is no permanent sitaution at all .....mambembe is freee ....hahaha unstoppable is back...aiseee hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha hatimaye ban imexpire
Aiseee sikuamini kuwa mimi ni superstar until nilivyoona notifications zenu khaaa sio kwa kutajwa kulee jaman sasa naombaa muwaambiee kuwa the queen is back

Believe me, it’s very possible to rise above the hate, and if you’re dealing with haters, you can rise above it too by:
1) showing your haters that their words have no effect on you yaaan hujali kabisa na piaa
2) showing them that you’re happy with who you are by doing more of what they hate yaan unawatiaa nyembe zaidi kama ninavyoaanza now na cha mwisho kabisa dont forget to be u .....

Point of correction guys mimi sio the list na wala simjui nilishangaa tu yule mkaka from no where kilaa ninapoweka comment naye kaja kuandika upupu wake na mm nilikuwa nashindwaa kuvumiliaa yaaani nilitaman nikutane naye nimtafune bt all in all im back again....

Wale mashost wanafki waliozani nimekuja kuwaibiaa mabwana zao naomba warelax coz sina tym na mwanaume yoyote humu ndani though nina pm zaid ya 150 mpka sasa bt kwakweli sipo tayari kujibu so mabwana zenu msiwe na hofu nao coz nipo hapa kusocialise na sio vinginevyo manake ma queen uchwara walinunaje jaman khaaaa kama nawaona watakavyoupitaa huu uzi ila ndo nshasema and message sent

Na kwa wale wanaume msojielewa/wanaume suruali wafata mikumbo ya jf muache tabia za kike mwishowe mnakuja kuaibika kwa vitu vyaa ajabu kisa ushabiki wa kijingaa kisa kasema flani kitu wote mnajitiaa kumshambuliaa mtu acheni tabia hizo mtakuja valishwa shanga mshindwe kuzihesabu na kutofautisha rangi

Walionimiss nimewaonaaa na wale wanafki nimewaonaaa piaaa all in all IM BACK BIIIIIIIIIIISSSH


Mambembe unstoppable
The queen is back
Ikiuma chomoa
 
ngoja niwahi siti """ mkianza kuchambana niambieni nije "" niwasaidie kuputa mchanga"" huwenda kuna ambao watahitaji kudundana kabisaa"""
Mambembe nakuomba unilipie ng'ombe zangu
Sichamban tena na classless people ambao hawana maishaa nilichogunduaa nimewazidi dats y dear
 
Eti ww ndio Imbecile,Fils de pute, Empty set, Rubbish, And so oniii...
Yaaan ukinitajiaa huyo mdudu nachefukwa na kutapikaaa ,alinisababishiaa ban mkosa haya yule kujitiaa yy kiranja wa jf namshukuru Mungu yote yamemrudiaa na shogaa zake kimyaaaaaaa walokuwa wanamsapoti
 
Yaaan ukinitajiaa huyo mdudu nachefukwa na kutapikaaa ,alinisababishiaa ban mkosa haya yule kujitiaa yy kiranja wa jf namshukuru Mungu yote yamemrudiaa na shogaa zake kimyaaaaaaa walokuwa wanamsapoti
Mlifia nn lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…