naona ...mke anatafuta public sympathy ..mumeo anaachaje kuangalia dstv nyumbani then aende kwenye mabanda ya tv ....!! ? kumbe ndugu yangu alivyoniambia kuwa unasifa ya uwongo alikuwa haongopi !?Mme amebadilika tabia,ikifika saa sita usiku anamwacha mkewe anaenda kwenye mabanda ya sinema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahhhaaahaa
Weka mbali na watoto
picha ni hatar mahali hapa
Mme kamkamtaza mkewe asiende mabanda ya sinema ila ye anaendaMmmmmmh huu sasa mtihani inabidi mfatane sasa
kapeace atakupa ubuyu na updates zooote anazoShogaa unajuaa unaniachaa hewani lakini mbona unanirushaa roho lakini???
Mambo vipi Mkuu habar za ban ulifanya nn Mkuu ??!Humjui nani???
huyo ni shemeji yko "" kwani siku kutambulisha..!!?Mbona Mi sikujui wewe !!
Kwa vile mke mpole anakubali tu lawama zotenaona ...mke anatafuta public sympathy ..mumeo anaachaje kuangalia dstv nyumbani then aende kwenye mabanda ya tv ....!! ? kumbe ndugu yangu alivyoniambia kuwa unasifa ya uwongo alikuwa haongopi !?
Natania...Seriously?
Ila ukikosea ukatuma yako kwangu uwe na amani kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hii nayo ni public sympathy ..hahaaaKwa vile mke mpole anakubali tu lawama zote
Pole Mkuu wangu nionjeshe japo kidogo historia ya kifungo chako ???! Pliz MkuuTs a long story[emoji16][emoji16]
BikoNamba ipi ya luku gari dawasco au