Mpira unadunda na una matokeo ya kushangaza lakini Yanga anatoboa vizuri sana robo fainali kwenye kundi lake!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Nimejaribu kuzifuatilia kwa ukaribu sana timu zilizopo kwenye kundi la yanga na nimejiridhisha akuna timu inayoweza kumtisha yanga kwa uwezo, current performance, na kiufundi pia!

Yanga angeweza kutishika kama angepangwa na ahly ahly ya misri, au esperance ya Tunisia, maana hizo ndio timu Bora kwa sasa na tishio kwa ukanda wa waarabu!

Lakini timu zilizobaki kwa ukanda huo wa waarabu akuna timu ambayo inaweza kumtisha yanga kwa sasa iwe ugenini ama nyumbani yanga anao uwezo wa kubeba point mbele yao!

Yanga atapata changamoto kidogo akikutana na tp mazembe kwakuwa na wao wameimarika kwa sasa lakini sioni Mazembe akipata point kirahisi mbele ya yanga na wao wanalijua hilo!

Al hilal ya sudani, na Mc Algiers ya Algeria bado hazina uwezo wa kuchukua point mbele ya yanga hii ya sasa, pengine na wao wameingia ubaridi kukutana na yanga!

Cr belouzdad wanalo somo zuri msimu uliopita pia USMA Algiers wanalo somo pia!

Kwa maana iyo uzani wa ubora wa hizi timu zote yanga keshaufikia na kuuvuka kwa sasa kwa kuangalia current performance!

Najua Mpira unadunda lakini Mpira ni sayansi pia kinachoonekana ndicho tunachoenda nacho ayo mengine yakitokea itakuwa ni bonus lakini yanga anao uwezo wa kuongoza hili kundi kwa 60%

Yanga kacheza na timu za Algeria, kacheza na timu za Tunisia, kacheza na timu za misri, kwa maana iyo akuna mwarabu hapo anayeweza kujitokeza kucheza na yanga kichwa kichwa wanajua ni mpinzani wa aina Gani!

Wacha tusubili tuone lakini natoa 100% kwa yanga kutinga hatua ya robo fainali kwa mara nyingine Tena!
 
Wananza lini kucheza ama ratiba bado haijatoka?
 
Unajipa uhakika,umefikiria na hao wapinzani wa Yanga wamejipangaje?
Kama ungeandika HAPA maandalizi ya Yanga yakiwa bora zaidi ya wapinzani wao basi Yanga atafika mbali..ungekuwa umeongea kimpira zaidi maana wengi mnaangalia kikosi cha Yanga kinawapa matumani kimataifa wakati katika ligi anabanwa koo na Kengold aliyepanda daraja.
 
Rudia kuusoma Uzi Tena ndio utoe hoja zako, nimekwambia baada ya kuzifuatilia timu zote izo ndio nikahitimisha, na nimesema yanga anatoboa robo fainali akuna timu ya kumzuia hapo!
 
umezifuatilia kwenye michuano ipi? Wakati klabu bingwa inaanza mwezi wa 11? Umeshajua hizo timu kwenye klabu bingwa zinachezaje? Al hilal omduman umemuona wapi wakati hachezi ligi yoyote?
 
Huo ni uchambuzi wa mchele sasa,weka data za hao wapinzani wa yanga hapa tukuamini.
 
Kwa Mkapa tunaweza tukabana tukachukua points 9. Hata ugenini pia hakuna wa kutufunga kirahisi. Hii Yanga ni tishio kwetu ni Al Ahly na Esperence na Mamelod.
 
Nimejaribu kuzifuatilia kwa ukaribu sana timu zilizopo kwenye kundi la yanga na nimejiridhisha akuna timu inayoweza kumtisha yanga kwa uwezo, current performance, na kiufundi pia!

Yanga angeweza kutishika kama angepangwa na ahly ahly ya misri, au esperance ya Tunisia, maana hizo ndio timu Bora kwa sasa na tishio kwa ukanda wa waarabu!

Lakini timu zilizobaki kwa ukanda huo wa waarabu akuna timu ambayo inaweza kumtisha yanga kwa sasa iwe ugenini ama nyumbani yanga anao uwezo wa kubeba point mbele yao!

Yanga atapata changamoto kidogo akikutana na tp mazembe kwakuwa na wao wameimarika kwa sasa lakini sioni Mazembe akipata point kirahisi mbele ya yanga na wao wanalijua hilo!

Al hilal ya sudani, na Mc Algiers ya Algeria bado hazina uwezo wa kuchukua point mbele ya yanga hii ya sasa, pengine na wao wameingia ubaridi kukutana na yanga!

Cr belouzdad wanalo somo zuri msimu uliopita pia USMA Algiers wanalo somo pia!

Kwa maana iyo uzani wa ubora wa hizi timu zote yanga keshaufikia na kuuvuka kwa sasa kwa kuangalia current performance!

Najua Mpira unadunda lakini Mpira ni sayansi pia kinachoonekana ndicho tunachoenda nacho ayo mengine yakitokea itakuwa ni bonus lakini yanga anao uwezo wa kuongoza hili kundi kwa 60%

Yanga kacheza na timu za Algeria, kacheza na timu za Tunisia, kacheza na timu za misri, kwa maana iyo akuna mwarabu hapo anayeweza kujitokeza kucheza na yanga kichwa kichwa wanajua ni mpinzani wa aina Gani!

Wacha tusubili tuone lakini natoa 100% kwa yanga kutinga hatua ya robo fainali kwa mara nyingine Tena!
Kwani angepangwa na Al Ahyl, Esperance au Mamelod asingeweza kutinga robo
 
Izo timu ni Bora kwa sasa kwenye ubora wa vilabu Africa, ata rank zao wapo kwenye 5 Bora ivyo yanga angetakiwa kufanya kazi ya ziada na nguvu nyingi sana kutoboa mbele yao na current performance wako vizuri sana sio mchezo!
 
umezifuatilia kwenye michuano ipi? Wakati klabu bingwa inaanza mwezi wa 11? Umeshajua hizo timu kwenye klabu bingwa zinachezaje? Al hilal omduman umemuona wapi wakati hachezi ligi yoyote?
Nani kakwambia al hilal achezi ligi yoyote? Unaposema nimezifatilia kwenye michuano ipi kwani mpaka wanakata tiketi ya kucheza klabu bingwa walipewa tu kama zawadi awakucheza ligi? Mbona maswali ya kitoto!
 
Izo timu ni Bora kwa sasa kwenye ubora wa vilabu Africa, ata rank zao wapo kwenye 5 Bora ivyo yanga angetakiwa kufanya kazi ya ziada na nguvu nyingi sana kutoboa mbele yao na current performance wako vizuri sana sio mchezo!
Yanga angeshika nafasi ya pili
Na robo fainali angeweza kukutana na TP Mazembe.
Kwa kundi hili itabidi afanye kazi ya kubwa zaidi aongoze kundi la sivyo atakutana na Esperance au Al Ahyl
 
Umefuatilia nini sasa?! Acha kuchambua mchele wewe... Leta hapa hizo data zinazo kuonyesha yanga kuongoza kundi ni 60% na kuvuka robo ni 100%.
Siyo tu umekaza ubongo karenti pafomansi karenti pafomansi.
 
Attachments

  • IMG-20241012-WA0001.jpg
    IMG-20241012-WA0001.jpg
    48.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom