Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni, Mbwiga Mbwiguke wa Clouds FM angekuwa na kiwango cha Messi!

Hiyo program ya saa 3 ni RADIO CLOUDS, ya ukweliukweli ni saa 4 usiku ndani ya Clouds TV.

Huyo ni mzee wa:

  1. Umatemate.
  2. Soko la nyani ngedere haponi.
  3. Mkole wa nyani kibwaya mkia.

Hasa cheko lake bana burudani.........kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi.......
 
"Leo nimeamini kuwa dereva Mzee anyang'anywi funguo wa gari mpaka apatwe na matatizo ya macho,yaani Chuji huyu Chuji tunayemjua wa kucheza katika kiwango kile,Chuji anapokea anatupia - anapokea -anatupia,Yanga leo walitia fora kama Brazil....leo mashabiki wa Yanga walikuwa hawashangilii magoli,walikuwa wanashangilia vitu ...whaaaaaaaaa....kama unatia viazi kwenye mafuta ya moto"......Mbwiga wa Mbwiguke - Clouds Fm
 
Anakwambia kama napiga kumbe nafinya... Striker nimekamilika natema mate kushoto nafukia kulia... Hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakwambia ukipata mpira toa pasi sio unakaa na mpira muda mrefu kama vile una upenda na kama unaupenda uchukue uende nao ukalalie kama mto hahaaa.

Kuku mweusi hafukuzwi gizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namsubiiri leo saa 3 hii ili nimsikie baada mechi ya watani na ukizingatia yeye mbwiga ni mshabiki mkubwa wa simba s c
Hivi Mbwiga ni mshabiki wa Abijo mie nilizania ni shabiki wa Kwala
 
Mbwiga Mbwiguke mkole nyani kibwaya mkia middlefielder kisheti...aaaaaahhhhh kama napiga vile halafu naingia nao mwenyewe.
Mimi ndo BB4...Ball Controler,Ball Balance,Ball Stamina,Ball Brain...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…