Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu ya Tanzania!
Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa asimame upande gani??
Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa asimame upande gani??