Anataka huyo anayesemwa achague timu moja tuu kuileaWewe unatakaje
Ni mlezi kutokana na nafasi yake kiuongozi ila ni shabiki wa Yanga kwa mapenzi yake mwenyewe (kutoka moyoni) so mpaka hapo ushapata jibu zikikutana Yanga na Pamba atakuwa upande upi.Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu ya Tanzania!
Sasa zinapokutana hizi timu mbili za Pamba na Yanga anakuwa upande gani au anatakiwa asimame upande gani??
Mnampamgia mkuu wa mkoa sehemu ya kuwa kwenye mkoa wakeAnataka huyo anayesemwa achague timu moja tuu kuilea
upuuzi unapelekea hadi kumwaga hela hovyo kwenye vitu ambavyo si vya msingiWabongo tunapenda sana kuyapa nafasi mambo ya kipuuzi, kuliko yale ya msingi. Sijajua mpaka leo shida yetu kubwa hasa ni nini!