Mpira wa Bongo ulipofikia sasa hivi unahitaji Akili Bandia ili kuwe na fairness, bila Robot Yanga atakuwa bingwa mara 10 mfululizo

Mpira wa Bongo ulipofikia sasa hivi unahitaji Akili Bandia ili kuwe na fairness, bila Robot Yanga atakuwa bingwa mara 10 mfululizo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya, Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka 10 mfululizo, nyie endeleeni kulalamika lkn mikakati na mipango ndio hiyo.

Sasa hivi hakuna jinsi, akili bandia ije tu ili soka lichezeshwe na robot, the sky is limit.

We need artificial intelligence in order to rescue soka la Bongo.Waamuzi mkatafute kazi za kufanya hasa wewe Kayoko na mwenzako Arajigije.
 
Mmevurugwa na mtaendelea kuvurugwa mlidhani yanga ni Tabora united?
 
YANGA HAJAWAHI KUBEBA UBINGWA KWA HAKI WAKATI WOTE NI UNYANG'ANYI HATA AIBU HAWANA VIONGOZI NA MASHABIKI WAO.
 
Waamuzi wa mechi zijazo za Yanga...!!!

1. Mwamuzi wa Kati - Ahmed Ally
2. Line one - Murtaza Mangungu
3. Line two - Abdallah Tryagain
4. Fourth officiall - Mohamed Dewji
5. Khamisaa wa mchezo - Waandishi wote wa habari za MAKOLO

Hapo vipi kutakuwa na Malalamiko tena ya waamuzi...???[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ongelea dosari ulizoziona kwa refa wa mechi, ukiongea kijumla jumla hivyo unaonekana ni shabiki wa timu pinzani na Yanga aliyekatia timu yake tamaa na pia utaonekana kama mtu wa majungu zaidi kwa kuonyesha kwamba huna hoja.
 
Back
Top Bottom