Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Siyo dalaja we topolo, ni daraja.Naona unataka simba ishuke dalaja
Mmevurugwa na mtaendelea kuvurugwa mlidhani yanga ni Tabora united?Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya, Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka 10 mfululizo, nyie endeleeni kulalamika lkn mikakati na mipango ndio hiyo.
Sasa hivi hakuna jinsi, akili bandia ije tu ili soka lichezeshwe na robot, the sky is limit.
We need artificial intelligence in order to rescue soka la Bongo.Waamuzi mkatafute kazi za kufanya hasa wewe Kayoko na mwenzako Arajigije.
Jonesia Rukya ni utopolo yeboyebo lialia kabisa,tunaomjua toka kitambo tunaelewa vizuriTatu Malogo na Jonesia Rukya wataendelea kuwepo hawatashuka daraja.
JINI MAIMUNA FC....Hao ndio makolo