Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Man city anaongoza ligi kwa tofauti ya point 12.
Barcelona anaongoza ligi kwa tofauti ya points 11.
Buyern anaongoza ligi kwa tofauti ya point 16.
PSG anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8.
Hawa wote husikii wakijiita mabingwa.
SIKIA SASA TZ KUNA TIMU INAONGOZA LIGI KWA TOFAUTI YA POINTI 2 TU LAKINI TAYARI WANAJIITA MABINGWA. ILA SIWALAUMU SANA AKILI ZAO ZINA UKOSEFU WA UBINGWA MIAKA MINGI SANA SO AKILI ZAO PIA HAZIWEZI KUWA SAWA.
Pia nashauri wakapimwe AKILI huenda kukosa ubingwa muda mrefu kunawatliwatoke
Povu Ruksa maana kwa akili zao lazima liwatoke[emoji205][emoji205]
Hivi Mara ya mwisho mikia kuchukua ubingwa ulikuwa wapi na unafanya nini?Unagugumia kwa maumivu ya kudondokewa na mbao mbili na bado Azam J'mosi