Mpira wa mabeberu wa kike unafurahisha sana wanatandaza mpira ile mbaya

😂acha izo mkuu mwanaume ni mwanaume tu ! Hiyo timu ya usa ya wanawake 2017 walicheza na tim ya wanaume under 15 wakala goli 5
Interesting! Nipe Source bro au ni stori ya kutunga?
kwa timu ya wakubwa watafungwa 30-0
Ila wanajua kujipanga na kutoa pasi na one on one na kipa wana score Kuna fowadi wa England Matata kweli
 
@kisdaniel nimeangalia game karibia zote kwa kweli hao wazungu wapo mbali sana angalia wanavyo tumia mbinu kuzuia ,kushambulia yaani ni shidaa mechi ya Jana ENGLAND walishikwa pembe zote kocha wao Philip Neville akawa amepagawa Hana cha kufanya leo ni zamu ya mamiss wa dunia uholanzi
 
T
Interesting! Nipe Source bro au ni stori ya kutunga?
kwa timu ya wakubwa watafungwa 30-0
Ila wanajua kujipanga na kutoa pasi na one on one na kipa wana score Kuna fowadi wa England Matata kweli
Tatizo wakicheza na wanaume wataishiwa kupigwa dole na kushikwa chuchu.
 
T

Tatizo wakicheza na wanaume wataishiwa kupigwa dole na kushikwa chuchu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin pia Kun malesbian pia kwenye hizo timu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…