‘Mpira wa magazetini’ waiponza Yanga, yaambulia patupu Kombe la Shirikisho


Mchawi wa yanga ni yule mropokaji anayefikiria kwamba mpira huchezewa kwa vijembe, kejeli na mitusi! Wakilitambua hilo, wakalifukuza hilo domokaya wanaweza kuanza safari ya mafanikio!
 
Umenena vema. Tatizo la bongo ni magazi, wanasajili wachezaji wabovu kisha wanawapamba magazetini. Timu inasajiri wachezaji nje ya nchi hakuna hata mmoja anayechezea timu ya taifa. Nakupongeza sana mchangiaji umetoa mawazo mazuri, ila kuwashauli viongozi wa mpira wa bongo ni sawa na kumpigia gitaa kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…