R Ray2012 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 229 Reaction score 28 Apr 7, 2012 #1 majumuhisho ya mijadala yetu katika forums mbalimbali juu ya mwendo wa kusuasua kwa maendeleo ya soka nchini ni udhaifu kt uongozi wa vilabu na siasa, naombeni mawazo yenu wakuu
majumuhisho ya mijadala yetu katika forums mbalimbali juu ya mwendo wa kusuasua kwa maendeleo ya soka nchini ni udhaifu kt uongozi wa vilabu na siasa, naombeni mawazo yenu wakuu
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Apr 7, 2012 #2 Mkuu mbona Simba iko poa tu? Labda useme maendeleo ya soka la Yanga na Stars, sio la Bongo