Kuna siku Tulifungwa magoli selasnatano(Thelethini na Tano)
KUFUNGWA goli zaidi Ya 20 ni kawaida....
Kuna wanaocheza peku....
Mwenye Mpira ndo anaanza kuita wachezaji wake wakati huo Mnaoitwa mmejikusanya katikati ya uwanja......
Kama umewahi kucheza nahisi siyo mgeni wa msemo .....Ndiki Ndikika...,πππ Namtaka usi breini
....