Mpira

oscar mwankina

Senior Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
187
Reaction score
118
Wakuu naomba kuuliza;
Hivi hapa nchini mpira wa kuwania kombe la Mataifa huru ya Africa ni King'amzi kipi kitakacho kuwa kinaonyesha channel za mpira ?

Mimi natumia Dstv na StarTimes sasa nataka nilipie kimoja.

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…