M munally14 Member Joined Mar 5, 2020 Posts 84 Reaction score 87 Jan 23, 2024 #1 Nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula kwenye mgahawa Wali pilau biryan na vitafunwa mshahara laki 2include chakula cha mchana kwa mawasiliano 0747848885/0742009965 Location kibaha visiga
Nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula kwenye mgahawa Wali pilau biryan na vitafunwa mshahara laki 2include chakula cha mchana kwa mawasiliano 0747848885/0742009965 Location kibaha visiga
babaMike Member Joined Dec 19, 2022 Posts 30 Reaction score 29 Jan 23, 2024 #2 Na Mimi nahitaji pia please ukipata ni connect na mie Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na Mimi nahitaji pia please ukipata ni connect na mie Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Jan 23, 2024 #3 Niliwahi kufanya hii biashara, kupata chef mzuri kabisa kwa Laki 2 sidhani mkuu,labda Hawa wa kuokotoleza
Niliwahi kufanya hii biashara, kupata chef mzuri kabisa kwa Laki 2 sidhani mkuu,labda Hawa wa kuokotoleza
M munally14 Member Joined Mar 5, 2020 Posts 84 Reaction score 87 Jan 23, 2024 Thread starter #4 Mr mutuu said: Niliwahi kufanya hii biashara, kupata chef mzuri kabisa kwa Laki 2 sidhani mkuu,labda Hawa wa kuokotoleza Click to expand... Makazi kwangu na kula kwangu
Mr mutuu said: Niliwahi kufanya hii biashara, kupata chef mzuri kabisa kwa Laki 2 sidhani mkuu,labda Hawa wa kuokotoleza Click to expand... Makazi kwangu na kula kwangu
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Jan 23, 2024 #5 munally14 said: Makazi kwangu na kula kwangu Click to expand... 200 kwa chef labda upate wa kuunga unga.... Tena hao wanaojua na vitafuno hawashikiki kabisa Utanipa mrejesho
munally14 said: Makazi kwangu na kula kwangu Click to expand... 200 kwa chef labda upate wa kuunga unga.... Tena hao wanaojua na vitafuno hawashikiki kabisa Utanipa mrejesho