Mpishi anaitajika

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kupika biriani na Mande pia n avyakula vingine kwa ajili ya biashara ya mgahawa Bunju B.

Noamba ni PM kama una sifa hizo.
 
Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kuoika biriani na mande pia n avyakula vingine kwaajili ya biashara ya mgahawa Bunju B. Noamba ni PM kama una sifa hizo.
Kuna jamaa ni noma sema yupo mkoani huko. Yule jamaa ni genius wa vitafunwa na hayo makitu. Na ni very loyal. Ungempata ungelamba dume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…