Mpishi unapendelea kukata vitunguu kwa style gani kati ya hizi?

Mpishi unapendelea kukata vitunguu kwa style gani kati ya hizi?

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Vitunguu vina aina mbalimbali za ukatwaji,viwe vikubwa ,vidogo,saiz ya kati
IMG_20181205_145144.jpg
 
Namba 1 natumia nikipika pasta au mayai with vegetables

Namba 2 na 4
kwa kupika rost hata pilau

Namba 4 nzuri kwa kuweka kwenye nyama ya sambusa

Namba 5 salad ndio yenyewe

4 na 6 kwenye mapishi mengi tu pilau biriani nk
 
Shukran sana

Back
Top Bottom