Mpishi unapendelea kukata vitunguu kwa style gani kati ya hizi?

Namba 1 natumia nikipika pasta au mayai with vegetables

Namba 2 na 4
kwa kupika rost hata pilau

Namba 4 nzuri kwa kuweka kwenye nyama ya sambusa

Namba 5 salad ndio yenyewe

4 na 6 kwenye mapishi mengi tu pilau biriani nk
 
Shukran sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…