Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au 0622290084 email lahebusines@gmail.com