Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au 0622290084 email lahebusines@gmail.com
Bro upo vizuriCheo gani mkuu executive
chef au chef de part? Mpishi wa mapishi gani pastrier? Salad? Hot kitchen? Cold kitchen au?
Samahani, nimekurupuka......nilifikiri ulitaka mpishi wa Hallotel akuharibie mtandao.Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au 0622290084 email lahebusines@gmail.com
We nenda ukaanze kazi, ukiambiwa mshahara 15k we kubali tu.Cheo gani mkuu executive
chef au chef de part? Mpishi wa mapishi gani pastrier? Salad? Hot kitchen? Cold kitchen au?
Mhm...!!!!Samahani, nimekurupuka......nilifikiri ulitaka mpishi wa Hallotel akuharibie mtandao.
NitafuteBro upo vizuri
Nakupigiaa 😁Nitafute
OkayNakupigiaa 😁