Mpishi wa kukaanga chips na kuku

Mpishi wa kukaanga chips na kuku

njule

New Member
Joined
Jun 26, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Habari wana JF

Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko.
Anatakiwa awepo Dar.

Tuwasiliane 0789155571
 
anatakiwa wa dar ili awe karibu na kazi
 
Back
Top Bottom